NTAMWETE EMPIRE
By Lusamwa Lusamwa
Latest episode
-
UCHAMBUZI MECHI ZA NBC MTIBWA SUGAR V SIMBA SC, POLISI TANZANIA V YANGA SC
Karibu kwenye uchambuzi wa mechi za NBC Premier league kwa wiki ya 13. -
TATHIMINI YA FAINALI YA KOMBE LA MAPINDUZI NA KUREJEA KWA CLATOUS CHAMA NDANI YA SIMBA SC
Baada ya mashindano ya kombe la mapinduzi kumalizika leo tunakuletea tathimini ya fainali hiyo na baada ya Clatous Chama kurejea Msimbazi tutaangalia umuhimu wake kikosini hapo na kitu gani anaweza kuongeza kwa timu iliyopo sasa. -
TATHIMINI KUELEKEA FAINALI YA MAPINDUZI CUP AZAM FC V SIMBA SC
Kesho ndio mashindano ya mapinduzi cup yanafika tamati ambapo tutashuhudia mchezo wa fainali utakaozikutanisha Azam FC dhidi ya Simba SC huko visiwani Zanzibar.Hapa NTAMWETE EMPIRE tunakuletea tathimini ya mchezo huo na nani mwenye nafasi kubwa kuibu… -
MATUKIO NA MATOKEO YA AFCON NA MAPINDUZI CUP
Karibu kwenye makala maalum ya mashindano ya AFCON na MAPINDUZI CUP tukiangalizia kimbinu timu zilizofanikiwa kwenye mshindano hayo mpaka sasa. -
NANI KUIBUKA BINGWA AFCON 2021 NCHINI CAMEROON?
Makala ya 31 ya mashindano ya soka ya mataifa ya Afrika inaanza jumapili hii ya Januari 9, leo tunaangazia timu ambazo zinapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa mashindano hayo. -
NANI KUIBUKA BINGWA AFCON 2021? IPI NAFASI YA SURE BOY JAGWANI?
Makala ya michezo ya kombe la mataifa barani Afrika AFCON inatarijiwa kuanza Januari 9,2022.Licha ya kuzongwa na kupigwa vita na baadhi ya watu hasa wanahabari toka barani ulaya, kuanzia leo tutakuwa tukikuletea mfululizo wa matukio na matokeo ya mic… -
NINI KIFANYIKE NA NI IPI HATMA YA SIMBA SC KWENYE SHIRIKISHO AFRIKA
Makundi ya klabu shiriki kwenye mashindano ya vilabu barani Afrika tayari yamepangwa na wawakilishi pekee ya Tanzania kwenye mashindano hayo Simba SC wamepangwa kundi D pamoja na Gendarmerie ya Niger, Asec Mimosas ya Ivory Coast pamoja na RS Berkane … -
USAJILI
Maeneo ambayo Simba SC na Yanga SC wanapaswa kufanyia kazi.