NTAMWETE EMPIRE

NANI KUIBUKA BINGWA AFCON 2021? IPI NAFASI YA SURE BOY JAGWANI?

Listen on

Episode notes

Makala ya michezo ya kombe la mataifa barani Afrika AFCON inatarijiwa kuanza Januari 9,2022.Licha ya kuzongwa na kupigwa vita na baadhi ya watu hasa wanahabari toka barani ulaya, kuanzia leo tutakuwa tukikuletea mfululizo wa matukio na matokeo ya michezo mbalimbali tolavpale Cameroon, kaa tayari kwa uchambuzi uliotukuka kutoka kwa Dokta wa uchambuzi Bw. SHABELE DANIEL hapa hapa Ntamwete Empire.