NTAMWETE EMPIRE

TATHIMINI KUELEKEA FAINALI YA MAPINDUZI CUP AZAM FC V SIMBA SC

Listen on

Episode notes

Kesho ndio mashindano ya mapinduzi cup yanafika tamati ambapo tutashuhudia mchezo wa fainali utakaozikutanisha Azam FC dhidi ya Simba SC huko visiwani Zanzibar.Hapa NTAMWETE EMPIRE tunakuletea tathimini ya mchezo huo na nani mwenye nafasi kubwa kuibuka na ushindi na kwa sababu zipi, karibu.