Naweza Show

Naweza Show - Msimu wa 2, Sehemu ya 10:Umuhimu wa Afya ya Uzazi kabla na baada ya ujauzito

Listen on

Episode notes

Hapa tunakuletea simulizi kutoka kwa Salome. Binti huyu alikuwa na ndoto ya kuwa fundi cherehani lakini aliozeshwa na familia akajikuta akipata mtoto na ndoto kupotea ilionekana kama ndoto yake ilikuwa matatani lakini baadae Salome alifanikiwa, Je alifanyaje?