SBS Swahili - SBS Swahili
By SBS
Independent news and stories from SBS Audio, connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians. - Taarifa huru na hadithi zinazo kuunganisha na maisha nchini Australia nawa Australia wanao zungumza Kiswahili
Latest episode
-
Taarifa ya Habari 17 Mei 2024
Kupungua kwa urasimu, bajeti iliyo rahisishwa, na kupungua kwa uhamiaji ni sehemu muhimu ya mpango wa chama cha mseto kwa Australia. -
Bajeti yashughulikia maswala muhimu kwa jumuiya zatamaduni nyingi ila maelezo ya ziada yana hitajika
Jamii za wahamiaji na wakimbizi zimekaribisha mipango katika bajeti ya shirikisho ila, wame sema maelezo zaidi yanahitajika kuhusu mikakati iliyo lengwa kwa wanachama wa jumuiya. -
Jinsi ya kuomba kazi
Unapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu. -
Namna yakupata leseni yakuendesha gari
Kuendesha gari hutoa uhuru na huongeza fursa zakupata kazi ila, shughuli hiyo huja pia na wajibu mkubwa waku hakikisha usalama barabarani. -
Taarifa ya Habari 14 Mei 2024
Mweka hazina Jim Chalmers amesisitiza bajeti atakayo tangaza inahusu kuweka shinikizo yakupunguza mfumuko wa bei. -
Watu saba wauawa kwa shambulizi la bomu Mkoani Kalehe DRC
Hali ya usalama inaendelea kuwa mbaya Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. -
Taarifa ya Habari 10 Mei 2024
Mamia yawa fungwa wa uhamiaji wanaweza achiwa huru kutegemea na hukumu ya mahakama kuu, inayo tarajiwa kutolewa leo kwa changamoto yakisheria iliyo wasilishwa na muomba hifadhi kutoka Iran. -
Uchunguzi wa Seneti waunga mkono mswada tata wa uhamisho
Uchunguzi wa Seneti umependekeza serikali ipitishe mswado wake wenye utata, utakao fanya iwe rahisi kuwafukuza nchini walio ndani ya vizuizi vya uhamiaji. -
Taarifa ya Habari 9 Mei 2024
Serikali ya Australia ita imarisha miradi ya gesi katika hatua yakutoa suluhu kwa ongezeko la mahitaji pamoja nakusaidia mchakato wakuhamia kwa uzalishaji sufuri kufikia 2050, hoja ambayo imefichua kuwa uchimbaji utaendelea zaidi ya tarehe hiyo. -
Bunge la Kenya lapiga kura yakutokuwa na imani na waziri wa kilimo na mifugo
Kamati maalum ya bunge la Kenya, imesikiza wasilisho la Mh Jack Wamboka ambaye anataka waziri wa kilimo na mifugo wa Kenya atimuliwe kazini.