FPLTZ Podcast with Godfrey and Eric

Blank Gameweek 27 Preview | FPLTZ Podcast | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22

Blank Gameweek 27 Preview | FPLTZ Podcast | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22

FPLTZ Podcast with Godfrey and Eric

Listen on

Episode notes

Kwenye episode hii tunapreview Blank Gameweek 27 kwa kujibu maswali tuliyoyapata kutoka kwa FPL managers wa Twitter na kwenye group letu la whatsapp. Tumerudisha pia segment za Under the Radar na Captain picks kwenye episode hii. Enjoy.

Support Us:

https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania

About Us:

FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano!

WhatsApp Group Invite

https://chat.whatsapp.com/BDKV0rUOKw4KpwS4VoJx9T

Jiunge FPL Tanzania League

https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/alsp78

#fpltz #FPLTZPodcast

--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/fpltanzania/message