FPLTZ Podcast with Godfrey and Eric

By FPL Tanzania
FPLTZ Podcast ni podcast inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi kila Jumanne. Tutakuwa tunaongelea kila kitu kuhusu huu mchezo wa Fantasy Premier League. Tutakuwa tunazungumzia kila kitu kuanzia wachezaji wa kununua, kuuza, na kubakiza kwenye team

Latest episode