FPLTZ Podcast with Godfrey and Eric
Gameweek 23 | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22
Episode notes
Kwenye episode hii tunaongelea preview ya gameweek 23. Nani wa kuwa nae kutokea Man City, Je Bruno ni viable option pamoja na focus kwa Aston Villa assets. Tunagusia pia wachezaji wanaofly under the radar and top 3 captain picks for next gameweek. Karibuni.
0:00 Intro
00:45 Eric GW22 review so far ๐
01:21 Mkali GW22 review so far ๐
02:07 KDB & City Assets
05:12 Should we talk about Bruno?
09:00 Focus kwa Aston Villa
13:25 Under The Radar! ๐
18:32 Captain Pick ๐งข
22:16 Outro
Support Us:
https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania
About Us:
FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano!
WhatsApp Group Invite
https://chat.whatsapp.com/BDKV0rUOKw4KpwS4VoJx9T
Jiunge FPL Tanzania League
https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/alsp78
#fpltz #FPLTZPodcast
--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/fpltanzania/message