FPLTZ Podcast with Godfrey and Eric
Double Gameweek 28 | FPLTZ Podcast | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22
Episode notes
Kwenye episode hii tunapreview Double Gameweek 28 kwa kujibu maswali tuliyoyapata kutoka kwa FPL managers wa Twitter na kwenye group letu la whatsapp. A very interesting gameweek ahead of us with a lot of options. Ungana nasi kwenye mazungumzo haya. Karibu.
Support Us:
https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania
About Us:
FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano!
WhatsApp Group Invite
https://chat.whatsapp.com/BDKV0rUOKw4KpwS4VoJx9T
Jiunge FPL Tanzania League
https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/alsp78
#fpltz #FPLTZPodcast
--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/fpltanzania/message