SBS Swahili - SBS Swahili

Jinsi yakujiandaa kwa dhoruba na mafuriko Australia

Listen on

Episode notes

Katika muongo ulio pita, Australia imepitia matukio mabaya sana ya mafuriko katika historia ya hivi karibuni. Kati ya miaka ya 2020-2022, sehemu kubwa zime zama chini ya maji mara tatu au mara nne.